blogger

Diamond Platnumz alipokasirika na kuuonyesha upande mwingine wa nyumba yake, hii ni ya chumbani kwake


Kwenye hii post aliandika ‘State House tym Hii..😊
Super star kutokea Tanzania Diamond Platnumz usiku wa April 29 2015 aliamua kuonyesha upande mwingine wa nyumba yake aliyoijenga Dar es salaam ambapo alipost post zaidi ya moja kwa kile kinachoonekana kuwa ni baada ya kukasirishwa na comment ya follower wake Instagram.
Post iliyofata baada ya hii aliandika ‘Crazy Us πŸ˜„…Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea….πŸ˜πŸ˜‚ #StateHouseByNight

http://www.mishe.ga
About Author

Diamond Platnumz

The Rolls Royce Musician From East Africa |Tanzania|C.E.O of WCB Wasafi